Mzee wa miaka 60 auawa nakukatwa sehemu za siri

Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wanafanya uchunguzi juu ya tukio la kuuawa kwa mzee wa miaka 60 na mwili wake kutelekezwa barabarani,

Mwili huo ambao uligunduliwa leo asubuhi katika eneo la Riruta huku sehemu zake za siri kukutwa zikiwa zimekatwa.
Mwili huo wa marehemu ambao bado haujajulikana ni nani, umepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti wakati uchunguzi dhidi ya waliohusika na mauaji hayo ukiendelea.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya kutumia ganda la Ndizi mbivu

Kurudisha nguvu za kiume

HISTORIA: Ernesto Guevara