Vijana wamgusa Nape Nnauye
Mbunge wa Mtama kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye amefunguka na kusema kuwa ameguswa sana na baadhi ya vijana wa jimbo lake wa Mtama ambao kwa pamoja wameweza kuchanga fedha na kumwezesha mwanafunzi kwenda Chuo Kikuu.
Nape Nnauye amesema kuwa kutokana na kitendo hicho cha kizalendo kilichofanywa na baadhi ya vijana hao jimboni kwake hivyo na yeye ameguswa na kuamua kumchangia pia kijana huyo ili akapate kuongeza maarifa.
Comments
Post a Comment