UTAFITI, Kukaa na Njaa Kunapeleka Nywele Kukua kwa Kasi

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kitengo cha utafiti cha wanasayansi nchini Brazil EurekAlert, kukaa na njaa  kunapelekea nywele kurefuka kwa haraka.

Kitengo hicho katika utafiti wake, kimenukuliwa na jarida la Cell Reports kuwa kukaa na njaa kunapelekea nywele kukuwa kwa haraka.

Utafiti huo  ulifanywa kwa kutumia kundi la panya waliopewa chakula kichache na kundi la panya waliopewa chakula kwa kiasi cha kawaida kwa mlo wa kila siku.

Utafiti huo ulifanywa kwa muda wa miezi 6.

Katika utafiti huo panya waliopewa chakula kichache walionekana kuwa na mabadiliko katika miili huku manyoya yakiongezeka.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya kutumia ganda la Ndizi mbivu

Kurudisha nguvu za kiume

HISTORIA: Ernesto Guevara