Ushahidi wa picha kuwa Irene Uwoya kaolewa kweli na Dogo Janja huu hapa

Picha ya kwanza ya kuthibitisha harusi ya DOGO JANJA na IRENE UWOYA!! Babu Tale ameipost kwenye page yake ya Instagram kumkaribisha Uwoya kwenye familia ya TIPTOP. Nadhani mpaka hapo mdau wangu utakuwa umeamini kuwa wameoana kweli

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya kutumia ganda la Ndizi mbivu

Kurudisha nguvu za kiume

HISTORIA: Ernesto Guevara