Raila Odinga apuuzia uchaguzi wa marudio uliofanyika
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani (NASA) Raila Odinga amepuuzia uchaguzi wa marudio uliofanyika na kusema haukuwakilisha Wakenya walio wengi na anajiandaa kwa uchaguzi mwingine utafanyika baada ya siku 90 baada ya malalamiko yao kufanyiwa kazi
Comments
Post a Comment