Mvua yaua watu 4 hadi sasa

Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema watu wanne wamekufa kufuatia mvua iliyonyesha jana Alhamisi.

"Jana tulipokea taarifa za watu wawili leo Ijumaa asubuhi tumepokea taarifa za watu wawili tena hivyo mpaka sasa tuna idadi ya watu wanne," amesema.

Amesema bado wa naendelea kukusanya taarifa.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya kutumia ganda la Ndizi mbivu

Kurudisha nguvu za kiume

HISTORIA: Ernesto Guevara