Kenya:Uchaguzi unaweza kuahirishwa baadhi ya Maeneo

Bw Chebukati amesema katika baadhi ya maeneo ambayo huenda uchaguzi utatatizwa kwa sababu za kiusalama au sababu nyingine, uchaguzi unaweza kuahirishwa kwa mujibu wa kanuni na sheria za uchaguzi.

Amesema wasimamizi wa uchaguzi maeneo hayo wanafaa kuwapasha habari wasimamizi wa tume ambao wataamua.

Amesema vifungu vya Sheria za Uchaguzi na Kanuni za Uchaguzi vinaweza kutumiwa kuahirisha uchaguzi na uandaliwe baadaye maeneo hayo.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya kutumia ganda la Ndizi mbivu

Kurudisha nguvu za kiume

HISTORIA: Ernesto Guevara