John Bocco kúikosa mechi ya Njombe mjii

Mshambuliaji John Bocco sasa uhakika ataikosa mechi Njombe mji wikiendi ijayo. Bocco aliumia katika mechi iliyopita wakati Simba ikiivaa Mtibwa Sugar na kupata sare ya bao 1-1. Bocco alitolewa nje na nafasi yake kuchukuliwa na Juma Liuzio katika mechi hiyo ambayo Simba walipata bao la kusawazisha katika dakika za nyongeza.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya kutumia ganda la Ndizi mbivu

Kurudisha nguvu za kiume

HISTORIA: Ernesto Guevara