Halima Mdee afunguka kuhusu bunge

Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA Halima James Mdee, amesema mambo yanayoendelea nchini yamechangiwa na kutokuwa na bunge imara, ambalo linashindwa kuwawajibisha viongozi wanapokwenda kinyume.

Halima Mdee ameyasema hayo alipokuwa akiongea na mwandishi wa East Africa Radio, na kusema kwamba hata Spika anayeliongoza Bunge hilo hana uamuzi huku akishindwa kuchukua uamuzi kadri mamlaka ya bunge yanavyomtaka.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya kutumia ganda la Ndizi mbivu

Kurudisha nguvu za kiume

Askari Aliyekuwa Akifanya Mapenzi na mfungwa ajinyonga