Everton kuifuata Chelsea Kwa Treni
Wayne Rooney akiwa na wachezaji wenzake wa Everton kwenye stesheni ya treni leo kwa safari ya London kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Carabao dhidi ya wenyeji, Chelsea kesho ambao utakuwa wa kwanza kocha wa muda, David Unsworth aliyepewa nafasi ya Ronald Koeman aliyefukuzwa.
Comments
Post a Comment