Walimu 15 watumbuliwa chamwino

Walimu 15 watumbuliwa Chamwino MUUNGWANA BLOG / 38 minutes ago Chamwino. Walimu 15 katika wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wamefukuzwa kazi baada ya kubainika kuwa ni watoro kazini. Tume ya Utumishi na Ajira ya Walimu (TSC0 wilayani humo imefikia uamuzi huo baada ya kushughulikia mashtaka dhidi ya watumishi hao yaliyowasilishwa kwao. Katibu wa TSC Wilaya ya Chamwino, Khalid Shaaban amesema uamuzi huo una gharama, lakini hakuna namna nyingine zaidi kufanya hivyo ili kuchochea uwepo wa nidhamu kwa walimu.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya kutumia ganda la Ndizi mbivu

Kurudisha nguvu za kiume

HISTORIA: Ernesto Guevara