Polisi watibua jaribio la pili la shambulizi Uhispania

Polisi watibua jaribio la pili la shambulizi Uhispania Saa moja iliyopita Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Mshirikishe mwenzako Haki EPA Image Polisi watibua jaribio la pili la shambulizi mjini Cambrils Uhispania Maafisa wa polisi wa Uhispania wanasema kuwa wamewaua watu watano katika mji wa Cambrils ili kuzuia jaribio la pili la shambulio baada ya shambulio la hapo awali kufanyika mjini Barcelona. Washambuliaji walikuwa wamevalia vilipuzi , polisi wamesema. Watu 13 walifariki huku makumi wakijeruhiwa baada ya gari dogo kuingia katika eneo la watu mjini Barcelona eneo la Las Ramblas siku ya alhamisi mchana Dereva wa gari hilo alitoroka na bado anaswaka.waziri mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy alisema kuwa lilikuwa shambulio la kijihadi.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya kutumia ganda la Ndizi mbivu

Kurudisha nguvu za kiume

HISTORIA: Ernesto Guevara