Neyma ateuliwa kuwa balozi
Neymar ateuliwa kuwa Balozi
MUUNGWANA BLOG / 46 minutes ago
Mchezaji soka wa kimataifa Neymar Santos ateuliwa kuwa balozi mwema wa shirika la kimataifa la walemavu .
Nyota huyo wa soka ambaye hivi karibuni ameihama Barcelona na kutia saini mkataba mpya na klabu ya soka ya PSG siku ya Jumanne aliahidi kufanya kazi pamoja na walemavu duniani ambao bado hawatambuliki katika jamii ili kuhamasisha usawa .
Shirika hilo lilianzishwa mnamo mwaka 1982 kwa ajili ya kutoa msaada kwa wakimbizi 6,000 kutoka Cambodia waliokuwa wamepoteza miguu .
Shirika la walemavu la kimataifa liliwahi kupata tuzo ya Nobel mwaka 1992 na hutoa misaada kwa watu wote duniani wenye ulemavu mabao hasa wanaoishi maeneo yenye majanga na vita .
Comments
Post a Comment