Mnara wa Lucky Vicent
Wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent waliorejea jana nchi kutoka Marekani watafika shuleni kwao leo. Pia kutafanyika uzinduzi wa mnara wa kumbukumbu ya vifo vya wanafunzi 32,walimu wawili na dereva mmoja vilivyotokea Mei mwaka huu. Wanafunzi ambao walinusurika na kupelekewa kwa matibabu nchini Marekani waliorejea jana ni Doreen mshana,Sadia Awadh na Wilson Tarimo Mwananchi:
Comments
Post a Comment