Everton yashinda 2-0

Everton yashinda 2-0 MUUNGWANA BLOG / 6 minutes ago Everton imeitwanga Hajduk Spilit kwa mabao 2-0 na kujiweka katika hatua nzuri ya kufuzu katika hatua ya makundi ya Europa League. Mabao ya Everton yamefungwa na Michael Keane na Idrissa Gueye katika mechi hiyo ambayo kipindi cha kwanza ilikabiliwa na tafrani kutoka kwa mashabiki wa Hadjuk hadi kusababisha mpira kusimama. Kipindi cha pili kilikwenda vizuri na hakikuwa na bao hata moja kwa kuwa Everton hawakuweza kuongeza na wageni nao hawakupata bao. Mechi ya marudiano ni Alhamisi ijayo, Everton inayodhaminiwa na SportPesa, itakuwa ugenini. VIKOSI: EVERTON (4-2-3-1): Pickford 6.5; Martina 6.5, Keane 7, Williams 6, Baines 6.5; Schneiderlin 6.5 (Davies 46, 6), Gueye 6.5; Mirallas 6.5 (Besic 76), Klaassen 6 (Calvert-Lewin 62, 6), Lookman 7; Rooney 7 SUBS NOT USED: Stekelenburg, Jagielka, Lennon, Holgate GOALS: Keane (30), Gueye (45) BOOKED: Schneiderlin HAJDUK SPLIT (4-2-3-1): Stipica 6; Juranovic 6, Nizic 6, Carbonieri 6, Memolla 5.5; Gentsoglou 6 (Toma Basic 85), Radosevic 6, Barry 6; Vlasic 6.5, Ohandza 6 (Said 66, 6), Kozulj 6 (Erceg 66, 6) SUBS NOT USED: Letica, Bosancic, Sehic, Tudor BOOKED: Memolla REFEREE: Ivan Kruzliak (Slovakia)

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya kutumia ganda la Ndizi mbivu

Kurudisha nguvu za kiume

HISTORIA: Ernesto Guevara