Dembele aanza safari ya kuelekea barcelona

Dembele aanza safari ya kuelekea Barcelona MUUNGWANA BLOG / 46 minutes ago Kiungo kinda mwenye kasi wa Borussia Dortmund, Ousmane Dembele inaonekana safari yake ya kwenda Barcelona imeiva. Barcelona imekubali kumwaga kitita cha pauni million 90 ili kumnasa. Leo, ameonekana Dembele akiwa na rafiki na ndugu zake wakimsaidia kuweka vitu kadhaa kwenye gari lake kama mtu anayehama nyumba.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya kutumia ganda la Ndizi mbivu

Kurudisha nguvu za kiume

HISTORIA: Ernesto Guevara